2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT 4 MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI LUGURUNI MANISPAA YA UBUNGO KM1 KUTOKA LAMI
#ZIMEBAKI_ZACHINI
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Kodi 400,000/=ร6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
-----------
PIGA SIMU
#06777370515