2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APATIMENTI ZURI SANA ZA KIFAMILIA
ZINAPANGISHWA
MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI NI KM 1 TUU
PKPK 1000/
========
HAPA ZIPO NYUMBA MBILI TOFAUTI
A)
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
=====
KODI 250,000/=X2
DALALI 250,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA 15000/
========
B)
VYUMBA VIWILI VYOTE NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA JIKO NA CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
ILA MADIRISHA YA WAVU
=========
KODI 200,000/=X2
KUTOKA STENDI
BODA. 1000/
KUTEMBEA KWA MGUU DK 20
=====#0625606710
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA