2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU
------
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedroom
Seble
Jiko
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=Γ6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
#dark
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA π