2 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT KALI KABISAAA INAPANGISHWAAA HIII SIYOOO YA KUACHAAA WATEJA ZANGUUU
LOCATION:MBEZI MWISHOO( Machimboo)
KODI YAKE:300,000=/ KWA MWENZI
MALIPO MIEZI 4
SIFA YA NYUMBA
✅VYUMBA VIWILI KIMOJA MASTER
✅SEBURE KUBWA
✅DINNING KUBWA SAFIII
✅JIKO SAFIII LA MAKABATII
✅TOILET PUBLIC
✅FENI
✅FENCE
✅PAVING BLOCK
✅PARKING KUBWA
✅UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
CONTACT
0782428327