2 Bedrooms House for Rent at Mbweni, Dar Es Salaam
14/1/2025
Nyumba inapangishwa stand alone inajitegemea
Location Mbweni mpiji
Bei 600,000 kwa mwezi
Miezi 6
Vyumba 2 kimoja master bedroom sitting room kitchen cabinets dinning room public toilet
Other ament
Contact 0745010009 or 0741887333