2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha
INAPANGISHWA KWA MREFU ARUSHAA
NYUMBAA KALIII‼️‼️
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule kubwaa
Ina jiko
Ina choo cha public
Ina heater ya maji moto
Ina kabati la nguo chumba cha master
Wapangaji wawili tu
Umeme unajitegemeaa
Parking ipo ya kutosha
Dakika 4 kutoka lami
Bei 300,000/= kwa mwezi
Mobile:0783209187
Instagram: dalali_wakitaa_arusha
.
.
#realestate #luxury #interiordesign #homedecor #business #entrepreneur #success #interior #dalaliwakitaaarusha #homesweethome #house #luxurylifestyle #forsale #realtor #investment #construction #realestateagent #realestatemarket #realestateagents #realtorsofinstagram #realestateforsale #dalaliarusha #dalaliwakitaa #nyumbaarusha #nyumbazakupangaarusha #njiro #moshono #sakina #ngaramtoni