2 Bedrooms House for Rent at Moshono, Arusha


Nyumba ya bedroom 2 ina pangishwa jijin Arusha moshono
Ina bedroom 2 yenye kabati
Ina Master room
Ina sitting room
Ina open kitchen yenye kabati
Ina public toilet
Ina heater system
Ina parking space
Ina Electric Fance
Ina maji ya Auwsa 24 hrs
Stand alone
Meter: 200 toka main road
Bei laki: 500000 ilipwe kwa miezi 6
Location moshono stand
Kwa mwiitaji piga number
0753503791/0784457400