2 Bedrooms House for Rent at Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (IKO YENYEWE)
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE, CHOO CHA NDANI PUBLIC, FENI NA JIKO LA NNJE. INAJITEGEMEA YENYEWE KILA KITU, MAJI YAPO DAWASA NA TENKI LIPO.
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.