2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Segerea Mwisho Viwanja Vya Benki.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule kubwa
- Jiko kubwa
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Paving
- Parking
- Fence
Kodi 400,000/= MIEZI MINNE.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 0688 412 890.