2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba inapangishwa Tabata Baracuda.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Store
- Public toilet
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Parking
- Fence
- Wapangaji wanne
Kodi 250,000/= MIEZI SITA.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga 📞 +255 688 412 890