2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Hii ni nyumba ya vyumba viwili Tabata Segerea.
Vyumba viwili (kimoja master), sebule, jiko lenye makabati, public toilet, paving n.k.
Dk 0 kutoka kituoni.
Kodi 500,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.