2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







APPARTMENT MPYA KABISA INAPANGISHWA 
TABATA SEGEREA
KODI YAKE 600K X6 
UMBALI KUTOKA STEND YA DALALDALA 
NI KM 1.3
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI DALALDALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI 
BARABARA NI LAMI TUPU MPAKA GETINI
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI STORE NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI 
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING 
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI 
CCTV CAMERA 📷 
FULL A/C 
NYUMBA NI MPYA KABISA 
HAIJAWAHI KUKALIWA 
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA 
SERVICE CHARGE NI TZ'S 20K 
CONT 👇
0672 673363 
0763 219307




















