2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba mpya inapangishwa Tabata Relini.
Ni gorofa zipo nne jumla.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Maji 24/7
- Umeme unajitegemea
- Maji unajitegemea
- Water reserve tank
- Anaweka A/C
- Paving anaweka
- Parking
- Electric fence
- Dakika 0 kutoka kituoni
Kodi 500,000/=.
Kuingia ni mwezi wa 3.
Muhitaji anaruhisiwa kulipia mapema.