2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba nzuri Tabata Kimanga.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Parking
- Paving
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Dakika 3 kutoka lami kuu
- Wapangaji wanne
Kodi 400,000/=.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890