2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







HIZI NYUMBA MPYAA NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA 600K X6
KODI LAKI SITA MALIPO YA MIEZI SITA ISIPUNGUE HAPA
LOCATION
TABATA KINYEREZI MWISHO KUTOKA STAND DK 8 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#KIMOJA MASTER
#SEBULE
#JIKO ZURI LENYEMAKABATI
#DINNING
#PUBLIC TOILET YA NDANI
#HEATER ZA MAJI
#FULL AC
#FULL CAMERA
NDANI YA FENSI KUBWA PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK FULL GARDEN
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 20,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
0679 956 863
0759151524
0781 418 437 ♥️