2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa Tabata Mangumi. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE.)
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko
- Public toilet
- Maji 24/7
- Parking
- Dakika 3 kutoka kituoni
- Mtaa tulivu
Kodi 400,000/= x 6.
Service charge 20,000/=.
Udalali sawa na kodi ya mwezi mmoja.
Muhitaji piga đź“ž 0688 412 890.