2 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam







Nyumba inapangishwa Tabata Segerea.
- Vyumba viwili (kimoja master)
- Sebule
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Water reserve tank
- Maji unajitegemea
- Umeme unajitegemea
- Paving
- Parking
- CCTV
- Fence
Kodi 400,000/=.
SERVICE CHARGE 20,000/=.
UDALALI SAWA NA KODI YA MWEZI MMOJA.
Muhitaji piga 0688 412 890.