2 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000/=×6
LOCATION
UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
SIFA ZAKE
___________
#VYUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAWEKWA SINK
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU INAJITEGEMEA
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA
Contact 📲
0713661530_0783661530