2 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam







DATE: 04/03/2025
KIWANJA CHENYE NYUMBA NDANI
BEI: TSH MIL 30 Ila maongezi yapo.
___________
LOCATION: BUNJU NJIA YA MABWE - (Tuwapende Watoto)
___________
KIWANJA: Kina sqm 800
Kiwanja kimepimwa na kina Mchoro ila Hati Bado
___________
Ndani ya Kiwanja kuna Nyumba ya Vyumba Viwili, Kimoja Master na Sebure.
___________
Kwa Mawasiliano:-
Piga/WhatsApp : 0687 - 800 788