2 Bedrooms House for sale at Kibamba, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa nyumba
ipo kibamba hondogo tank ya maji
Nyumba ni ya andagroud
Juu Ina vyumba V4 master moja
Sebule jiko daining publc na stoo
Chini vyumba 2 na sebule na choo ya public ya nje
Eneo sqm 500
Bei mil 110 mazungumzo yapo
Maji umeme vipo ndani hapo
Nyumba ipo mtaa Mzur
Km 3 toka moro road na km 1 toka lami mpya ya kibwegere na miter 500 Toka lami inayowekwa kipindi hiki
Contact call 0712531657
0789731695


















