2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
bei milioni 60 tu
0767672719📱0713672719
Nyumba ipo mjimwema kibugumo
Ina vyumba viwili kimoja Master
Sitting room dining room
jiko na public toilet
Mbele Kuna frem mbili za biashara