2 Bedrooms House for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI
<> location kibugumo
<> nyumba ina jumla ya vyumba viwili kimoja master sebule na jiko
<> nyumba Ina chumba kimoja master
<> chumba kimoja master
<> chumba kimoja single
<> nyumba Ina sebule kubwa
<> nyumba Ina public toilet
<> nyumba Ina jiko kubwaa
Hii nyumba inafaa kwa matumizi mbali mbali
<> ikiwemo makazi binafsi
<> pia unaweza ukapangisha
UKUBWA WA ENEO NI
<> SQM (300)
<> nyumba Ina calo la choo tayali
<> nyumba Ina kisima chamaji tayali
<> nyumba bado fence tu
BEI HALISI YA NYUMBA
<> ML (35)
🔳Mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837