2 Bedrooms House for sale at Kimara, Dar Es Salaam
NYUMBA INAUZWA IPO KIMARA MWISHO MATOSA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA SEBULE JIKO NA CHOO
UMBALI WA KUTOKA STAND YA MWENDOKASI KIMARA KILOMITA 4 ( NIMATOSA MWISHO) UNAWEZA KUPITIA GOBA NJIA 4
BEI TSH 21 MILIONI MAONGEZI YAPO KIDOGO
UWANJA NI MITA 15 KWA 15
SHIMO LA CHOO TAYARI NA MADIRISHA TAYARI NA FLOW TAYARI WE UNAHAMIA TU HAYO MENGINE UTAMALIZA UKIWA NDANI
MAJI YAMESHAVUTWA BADO UMEME
UMILIKI NI HATI YA MAUZIANO SERIKALI ZA MITAA
KUPELEKWA KUONA VIWANJA NA NYUMBA ZA KUNUNUA 25,000/=
#0710614924
#0688653940