2 Bedrooms House for sale at Kiseke, Mwanza


🗣️ PANAUZWA KISEKE PPF 🏡
👉 Kiwanja kipo eneo zuri sana la uwekezaji
👉 Kuna nyumba ya vyumba viwili, self moja, sebule, dining, public toilet na jiko
👉 Kiwanja kimepimwa na Kina HATI MILIKI
👉 Barabara inapitika vzr hadi site
👉 Ukubwa wa kiwanja ni SQM 1200
BEI: MILIONI 80
Piga simu kwa maelezo zaidi: 0765430905