2 Bedrooms House for sale at Mbezi, Dar Es Salaam






BANDA LA VYUMBA VIWILI, TSHS.23 MILIONI, MBEZI LUIS/GOBA MUHIMBILI.
●Kiwanja nikikubwa.
●Upande mmoja kina mteremko.
●Ukiusawazishwa mteremko unapata eneo kubwa la kuweza kujenga nyumba kubwa kadhaa.
Ni umbali wa wastani wa kilomita 2 tu kutoka kituo cha MUHIMBILI GOBA/MBEZI road
( Dakika 15 tu kwa Miguu)
Eneo maarufu kama UZUNGUNI.
Unaweza pia kupitia MBEZI LUXURY/KWA TUPATUPA.
Banda limeezekwa tu.
Halina umeme.
Majirani wapo kadhaa.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
___________mien