2 Bedrooms House for sale at Sombetini, Arusha
INAPANGISWA SOMBETINI ARUSHA.
NI NYUMBA IPO KARIBU NA BARABRA
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebulee kubwaa
Ina jiko kubwa lenye makabati
Ina heater ya maji moto
Umeme unajitegemea
Ina parking
Wapangaji watatu
Ipo karibu na barabra
Bei 400,000/= kwa mwez
Call 0758105801