2 Bedrooms House for sale in Ubungo, Dar Es Salaam







Kuna Apartment Moja hapa 'ubungo river side km 1.5 Usafiri bajaji 700 ukishuka dk 2 upo nyumbani
SIFA ZAKE
#########
Ina vyumba viwili sebule, jiko, bafu, Water heater, Feni TV cable connection balcon-mbele na nyuma, iko Floor ya juu, Kuna Mita binafsi ya umeme, Car park ya kutosha, Ulinzi ikiwemo CCTV. Pia kuna Free WiFi. Iko wazi kuanzia tarehe 07 Mar 2026.
kwa:
Bei ya Sh 290,000/=
Malipo ni
Miezi 4, 5, 6
Pia kwa wenye watoto wa chekechea mpaka darasa la sita kuna shule nzuri na bei nafuu sana, hamia na mtoto wako.
Karibuni
Contact
0742260844
0657384670




















