2 Bedrooms House for sale at Vikindu, Pwani


Mteja wangu wa vikindu aliniuliza swali kwa tsh milioni 15 anaweza kujenga nyumba ya ukubwa gani?
Nyumba hii hadi finishing itatumika milioni 14 hadi milioni 16 inategemea na usimamizi na gharama ya ufundi
Ni vyumba 2 kimoja masta
Choo cha public
Sitting room
Na jiko dogo
Veranda moja
Tofali zimetumika jumla 1200
Nondo 16
Bati 18
Karibu tuna
viwanja vizuri tsh 1,500,000 vikindu kwa mtopa
Maji na umeme vipo
0785367831
Whatsapp 0769355987