2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Buzuruga, Mwanza


APARTMENT ( FULL FURNISHED ) TATU (3) KWA PAMOJA ZINAUZWA BUZURUGA - MWANACHI
-kila nyumba ina vyumba viwili vya kulala vyote self contained, sebule, dinning, jiko, stoo na public toilet
-ina Air condition, water reseve tank, car parking space, heater, makabati n.k
-ukubwa wa kiwanja ni SQM 800
-ina hati miliki mkononi
-bei Milioni 250
-mazungumzo yapo
NB:-
-kila nyumba inapangishwa milion 1 kwa mwezi
☎️ 0743220097