2 Bedrooms Furnished House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Fully Furnished Apartment Inapangishwa
Mahali: Mbezi Beach Ya Chini
Bei: $900 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 3
☑️Inatizama Lami
☑️Vyumba 2, Kimoja Ni Master
☑️Sebule Dining Jiko Na Choo
☑️Fensi & Parking
☑️Inajitegemea Umeme
☑️Maji Usafi Ulinzi Taka Ni Bure
☑️Reserve Tank
☑️Maji Dawasa 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
#0786801000whatsapp