House/Apartment for Rent at Bonyokwa, Dar Es Salaam
Chumba master, sebule na jiko mpya inapangishwa sh 200000 kwa mwezi, location bonyokwa stand dar es salaam Tanzania
Distance dakika 10
Hapa zipo Apartments 2 ndani ya fence
Muhitaji piga sim
☎️ Calls/Whatsapp 0653233641
0768682919
Service survey change tsh 20000
1 month to agent