House/Apartment for Rent at Kati, Arusha
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 27/08/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER
#SEHEMU YA JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA HAZIPO NDANI YA FENSI ILA WALINZI WAPO WA KAMPUNI USALAMA WA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
0677370515
#BEI NI 230,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA