House/Apartment for Rent at Kati, Arusha


(170,000 × 6)
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA YA JUU IPO WAZI FLOOR YA 3
#MASTER BEDROOM NA SEHEMU YA JIKO
#NB: HAKUNA SEBULE SOMA KWA MAKINI MTEJA
PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300