House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam
#0625606710
APARTMENT ZINAPANGISHWA MAHALI ZILIPO NI DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO KIBAMBA MLOGANZIRA KUTOKA STEND YA MLOGANZIRA NI UMBALI WA KUTEMBEA KWA MGUU DK 10
MASTA BEDROOM KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI YA CHINI NA JUU
TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK ZINAWEKWA
HIZI NI MPYA KABISA
MTEJA AMBAE HANA HARAKA
ZITAKUWA TAYARI KUANZIA MWEZI WA 12 KUANZIA TAREHE 15 RUKSA
💰KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 200K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA