House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZR SN INAPANGISHWA MAHALI ILIPO DARESALAAM TZ 🇹🇿 ENEO KIBAMBA CHAMA UMBALI WA KM 1 LAMI NYUMBA
YENYE
MASTA BEDROOM NA JIKO ZULI LA KISASA LENYE MAKABATI INA TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA FENSI GET PAVING BLOCK GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI 155K
KODI ILIPWE MIEZI MIATATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO YA NYUMBA
NA SEVIRCE CHAGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿
NAMALIZA PAMBANO 🇹🇿