House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIBAMBA SHULE
KODI NI 200,000X6
Chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani public
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Bei:200,000 Kwa mwezi × 6
Umbali dakika 9 Kwa mguu toka kituoni
Ndani ya fence parking IPO
NB: Hela ya tahadhari 100,000/= ilipwe sambamba na Kodi
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
SIMU 0659336751 WSP 0786085637