House/Apartment for Rent at Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT HII SASA IPO WAZI TAYARI
APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA YA KIBACHELA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO KIBAMBA CHAMA MLOGANZIRA
YENYE
MASTA BEDROOM KUBWA SANA NA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI MOJA NA HAMSINI NA TANO 155K
KODI ILIPWE MIEZI MITATU 3
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO
SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15 🇹🇿👈
CONTACT: 0672 673363