House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INAPANGISHWA
KODI NI 170.000X4.5.6👈
LOCATION: KIMARA STOP OVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 15 KWA MGUU BODA 1000
NDUGU MTEJA NYUMBA IPO BARABARA YA ZEGE ADI NDANI
NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA SAFI
NA SEHEMU YA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
INA TILES JIPYSUM MADILISHA YA KIOO YENYE HEWA SAFI
HII NYUMBA MZURI IPO KWENYE FENC NA USALAMA UPO
WAKUTOSHA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000 👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
What saapp number 0689-547258