House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Hii ni master na jiko zuri (190,000 × 6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗕𝗨𝗖𝗛𝗔
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 190,000/= > 6
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#JIKO LAKE KUBWA
#PUBLIC TOILET IPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ULINZI BURE
#MTU WA USAFI WA MAZINGIRA NA GARDEN YUPO NI BURE KABISA ULIPII HATA MIA
#PARKING KUBWA
BEI NI 190,000/= × 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 1 TUU
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300