House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 170,000/= X 3
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER
#SEBULE
#SEHEMU YA JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU WANASHEA WA 2
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI MASAA 24
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 170,000/= X 3
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI PKPK SH ELFU MOJA TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA