House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA
IPO NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
💥 KODI YAKE 300,000 × 6
ILIPWE LAKI TATU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI SITA
🏘️ NYUMBA HII KUBWA INA SIFA ZIFUATAZO
⚡ VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM KUBWA.
⚡ SEBURE KUBWA SANA
⚡ DINNING ROOM
⚡ JIKO KUBWA SAFI
⚡ PUBLIC TOILET
⚡ STORE KUBWA
⚡ TIRES, GYPSUM
⚡ DIRISHA KIOO/ SHATER
⚡ PARKING KUBWA SANA
⚡ INAJITEGEMEA METER YA UMEME NA MAJI SAFI NA YANAFLOW NDANI 24HRS
🏘️ NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
USAFIRI >>>
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
*NOTE:: NYUMBA HII ITAKUWA WAZI RASMI TAREHE 01/ 04/ 2025, MTEJA ANARUHUSIWA KUJA KUONA NYUMBA KUANZIA SASA, NA KUFANYA MALIPO📌*
🏘️🇹🇿KARIBUNI