House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI NA IPO MTAA MZURI SANA MNO BEI NI TSZ 200,000/= X "4"
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
โขCHUMBA KIKUBWA MASTER
โขSEBULE KUBWA YA KUJIACHIA
โขJIKO KUBWA LENYE MAKABATI
โขPUBLIC TOILET ๐ป YAWAGENI
โขLUKU NA MITA YA MAJI DAWASA โขINAJITEGEMEA MWENYEWE USHEI
โขHAKUNA FENSI ILA USALAMA NI WA KUTOSHA SANA MNO
โขPARKING SPACE IPO KUBWA SANA
BEI NI TSZ 200,000/= X "4"
CONTACT US:07
WHATSAPP:07
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM.2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK.2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15,000/= UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU
0712656027