House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENTS NZURI SANA ZA KISASA MPYAA.. ZINAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
ZITAKUA TAYARI KWA HUHAMIA
KUANZIA TAREHE 15/03/2025 KUJA KUONA NA KULIPIA RUKSA.
๐๏ธ APARTMENT'S ZIPO AINA 3 TOFAUTI
No: [1]
#MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LIMEFUNGWA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENI ZIMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBANI
#HITER MAJI MOTO
#PAVING BLOCKS
#PARKING KUBWA
๐ฅKODI YAKE ๐350K X6
No: [2]
#MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO SAFI NA MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#HITER MAJI MOTO
๐ฅKODI YAKE๐300K X6
No: [3]
#MASTER BEDROOM KUBWA
JIKO KUBWA YENYE MAKABATI
NOTE:: HAKUNA SEBULE HAPA๐
๐ฅKODI YAKE 200K X6 ๐
๐๏ธAPARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI.
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.
0677370515
SERVICE CHARGE 15