House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA 
PIGA SIMU 
LOCATION: KIMARA STOP OVER 
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10-15 KWA MGUU 
BODA 1000
IMESHUKA BEI KWA SASA KODI 200,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO KUBWA SANA 
IPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO PIA YANA FLOW NDANI 
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWADALALI
0713661530_0783661530




















