House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


300,000 x6. 0747997630
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA MWISHO
====
Chumba cha kulala,sebule Choo ndani na jiko
Bei:300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali KM 1 Usafiri bajaji ukishuka umefika nyumbani
====
Maji yanaflow chooni, umeme inajitegemea
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679997610
0747997630
Msigwa
====