House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


MASTA KALIE SANA IPOE KIMARA TEMBONI
๐ฐBEI KWA MWEZI LAKI MOJA MIEZI SITA
ILIPWE 100,000X6
APARTMENT KALI SANA YA KISASA
INAPANGISHWA
NI MASTER
๐ฃIPO KIMARA TEMBONI UMBALI WA KILOMITA MOJA TU
SIFA ZA MASTER NI
INA TILES JIPSAM DILISHA KIOO UMEME WAWILI MAJI 2
IPO NDANI YA FENSI USALAMA WA KUTOSHA USAFILI UPO MWINGI BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI BODA BUKU