House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA MPYAAAAA MPYAAA INAPANGISHWA 250,000X5x6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#SEBULE KUBWA SANA MNO
#JIKO KUBWA LA KISASA
#NA KIBALAZA CHAKO
#PUBLIC TOILET ๐ป IPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#FENSI KUBWA USALAMA WAKUTOSHA
#PARKING SPACE IPO KUBWA SANA
#PARVING zinawekwa mafundi wapi kazini
BEI NI TSZ 250,000/= X5x6
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000/=
๐๏ธ :APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WAKUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM.2 USAFIRI NI BAJAJI NOAH TSZ 500/= AU BODABODA ELFU 1000
simu 06 59 33 67 51 wsp 07 86 08 56 37