House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE10/ 08/2025 KUONA RUKSA#BEI 150K
#MASTER BERD ROOM KUBWA NA JIKO LAKE
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI NA JIKO
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU 2 TU SUBMITER
#MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
#KUNA WALINZI WA KAMPUNI WAPO 24 HRS KILA MWEZI ELFU 20 ZINGATIA ILO KWA USALAMA WA MALIZAKO ZOTE
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347