House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM 1.5 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 500 UKISHUKA DK 3 UPO NYUMBAN NA BRBR NI RAFIKI KWA GARI YA AINA YOYOTE
SIFA ZA NYUMBA
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA JIKO ZURI KUBWA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
JIKO LINAWEKWA MAKABATI
ZIPO APARTMENT 4 NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA YANAFLOW NDANI
INA TILLES GYUPUSAM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS PARKING SPACE KUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA
BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637