House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER BEDROOM NA JIKO 200k
#ππ€πππ©ππ€π£: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE/ MAKOKA
Umbali wa Kilomita 1 Kutoka Main Road Mwendokasi, Usafiri Bajaj 500 na Boda 1000 Unaweza Pia Kupitia Riverside
#ππππ_πππ π
============
β’ CHUMBA KIKUBWA MASTER BEDROOM
β’ JIKO/OPEN KITCHEN
Apartment zipo ndani Kwenye Eneo Moja Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#ππ€ππ_π π¬π_ππ¬ππ―π π£π Tsh. 200,000/- Malipo Miezi 6
#πΌπ£πππ‘ππ―π€
Survey Charge ni 15,000 tu
Na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja
Contact:
0679 997610